sw_lam_text_ulb/05/19.txt

1 line
347 B
Plaintext

\v 19 Lakini wewe, Yahweh, unatawala milele, na utaketi katika kiti chako cha enzi vizazi na vizazi. Kwanini unatusahau milele? \v 20 Kwanini unatutelekeza kwa siku nyingi? \v 21 Turejeshe kwako, Yahweh, na sisi tutarejea. Fanya upya siku zetu kama zilivyo kuwa hapo zamani - \v 22 vinginevyo labda uwe umetukataa na una hasira kwetu kupita kiasi.