\v 17 Kwa kuwa moyo wetu umekuwa unaumwa, na machozi yetu ya fifia, kwa vitu hivi macho yetu yanafifia \v 18 maana Mlima Sayuni umelala ukiwa, mbwa wa mitaani wacheza juu yake.