\v 15 Furaha ya moyo imekoma na kucheza kwetu kumegeuka kilio. \v 16 Taji limeanguka kichwani mwetu; ole wetu, kwa kuwa tumetenda dhambi!