\v 13 Wanaume vijana wanalizimishwa kusaga mbegu kwa jiwe la kusagia, na wavulana wanajikwa chini ya vifurushi vya kuni. \v 14 Wazee wameacha lango la mji, na vijana wameacha miziki.