sw_lam_text_ulb/05/05.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 5 Hao wanakuja kwetu wamekaribia nyuma yetu; tumechoka na hatuwezi pata mapumziko. \v 6 Tumejitoa kwa Misri na kwa Assiria tupate chakula cha kutosha. \v 7 Baba zetu walifanya dhambi, na hawapo tena, na tumebeba dhambi zao.