sw_lam_text_ulb/05/01.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 1 Kumbuka, Yahweh, yaliyo tutokea na uone aibu yetu. \v 2 Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni; nyumba zetu kwa wageni. \v 3 Tumekuwa yatima, bila baba, na mama zetu ni kama wajane. \v 4 Lazima tulipe fedha kwa maji tunayo kunywa, na tulipe fedha kupata mbao zetu.