sw_lam_text_ulb/04/14.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 14 Walitanga, kwa upofu, mitaani. Walikuwa wamejitia unajisi kwa damu hiyo ambapo hakuna aliye ruhusiwa kushika nguo zao. \v 15 "Kaa mbali! Wewe mnajisi!" Watu waliwapazia sauti. "Kaa mbali! Kaa mbali! Usiguse!" Hivyo wakatanga; watu walisema miongoni mwa mataifa, "Hawawezi kukaa hapa tena."