\v 62 Midomo ya hao wanao inuka kinyume changu, na mashtaka yao, inakuja dhidi yangu siku nzima. \v 63 Ngalia jinsi wanavyo keti na kuinuka; wana nidhihaki na nyimbo zao.