\v 58 Bwana, ulitetea kesi yangu, uliokoa maisha yangu! \v 59 Yahweh, umeona mabaya waliyo ni fanyia, hukumu kesi yangu. \v 60 Umeona matusi yao, mipango yao yote dhidi yangu - \v 61 Umesikia dhihaka yao, Yahweh, na mipango yao kunihusu.