sw_lam_text_ulb/03/55.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 55 Nililiita jna lako, Yahweh, kutoka kina cha shimo. \v 56 Ulisikia sauti yangu. Ulisikia sauti yangu nilipo sema, "Usifunge sikio lako kwa kilio changu cha msaada." \v 57 Ulikuja karibu siku niliyo kuiita; ulisema, "Usiogope"