sw_lam_text_ulb/03/51.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 51 Macho yangu yana ni sababishia uzuni kwasababu ya mabinti wa mji wangu. \v 52 Nimewindwa kama ndege hao walio kuwa maadui zangu; wameniwinda pasipo sababu. \v 53 Wamenitupa kwenye shimo na wakanitupia jiwe, \v 54 na maji yaka mwagika juu ya kichwa changu. Nilisema, "Nimekatwa mbali!"