sw_lam_text_ulb/03/48.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 48 Macho yangu yanatiririka na miferiji ya machozi kwasababu ya watu wangu. \v 49 Macho yangu yatatoa machozi pasipo kikomo; pasipo hauweni, \v 50 mpaka atakapo tazama chini na Yahweh ataona kutoka mbinguni.