sw_lam_text_ulb/03/44.txt

1 line
221 B
Plaintext

\v 44 Umejifunika na wingu ili kwamba kusiwe na ombi linaloweza kupita. \v 45 Umetufanya kama uchafu na taka miongoni mwa mataifa. \v 46 Maadui wetu wote wametulaani, \v 47 wasiwasi na shimo limetujia, maafa na uharibifu.