\v 34 Kukanyaga chini ya mguu wafungwa wote wa dunia, \v 35 kumnyima haki mtu mbele ya uwepo wa Aliye Juu, \v 36 mkunyima haki mtu - Bwana hataidhinisha vitu kama hivyo!