sw_lam_text_ulb/03/30.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 30 Acha atoa shavu lake kwa yeye anaye mpiga, na ajazwe tele kwa aibu. \v 31 Kwa kuwa Bwana hatatukataa milele, \v 32 lakini japo anatia uzuni, ata kuwa na huruma kwa kadiri ya mwingi wa upendo wake dhabiti. \v 33 Kwa kuwa haadhibu kutoka moyoni mwake au kutesa watoto wa mwanadamu.