sw_lam_text_ulb/03/25.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 25 Yahweh ni mwema kwao wanao msubiri, kwa anaye mtafuta. \v 26 Ni vizuri kusubiri taratibu kwa uwokovu wa Yahweh. \v 27 Ni vizuri kwa mtu kubeba nira katika ujana. \v 28 Acha aketi peke yake katika utulivu, inapo kuwa imewekwa juu yake. \v 29 Acha aeke mdomo wake kwenye vumbi - kunaweza bado kuwa na matumaini.