sw_lam_text_ulb/03/22.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 22 Upendo dhabiti wa Yahweh haukomi na huruma zake haziishi, \v 23 ni mpya kila asubui; uaminifu wako ni mkubwa. \v 24 "Yahweh ni urithi wangu," Nilisema, hivyo nitamtumainia.