sw_lam_text_ulb/03/16.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 16 Alivunja meno yangu na kokoto; amenisukuma chini kwenye fumbi. \v 17 Nafsi yangu imenyimwa amani; nimesahau furaha ni nini. \v 18 Hivyo na sema, "Ustahimilivu wangu umeangamia na pia tumaini langu kwa Yahweh."