sw_lam_text_ulb/03/12.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 12 Amepindisha upinde wake na kunifanya mimi kama lengo la mshale wake. \v 13 Ametoboa maini yangu kwa mishale ya mfuko wake. \v 14 Nilikuwa kichekesho kwa watu wangu wote, kielelezo cha dhihaka yao siku nzima. \v 15 Amenijaza kwa uchungu na kunilazimisha kunywa maji machungu.