sw_lam_text_ulb/03/09.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 9 Ameziba njia yangu kwa ukuta wa mawe ya kuchonga; amefanya njia yangu mbaya. \v 10 Yeye ni kama dubu anasubiri kunishambulia, simba katika maficho; \v 11 amegeuza pembeni njia zangu, amenifanya ukiwa.