sw_lam_text_ulb/03/01.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 1 Mimi ni mwanaume nilyeona maangaiko chini ya gongo la hasira ya Yahweh. \v 2 Amenifukuza na kunisababisha kutembea kwenye giza kuliko kwenye nuru. \v 3 Hakika amenigeuzia mkono wake dhidi yangu tena na tena, siku yote. \v 4 Amefanya mwili wangu na ngozi yangu kufifia; amevunja mifupa yangu.