1 line
282 B
Plaintext
1 line
282 B
Plaintext
\v 19 Walio tukimbiza walikuwa wepesi kuliko tai wa aangani. Walitukimbiza kwenye milima na kutuwinda nyikani. \v 20 Pumzi katika pua zetu - mpakwa mafuta wa Yahweh - ndiye aliye kamatwa katika shimo; ambaye ndiye aliye semewa, "Chini ya kivuli chake tutaishi miongoni mwa mataifa." |