sw_lam_text_ulb/04/12.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 12 Wafalme wa dunia hawaku amini, wala wakazi wa dunia, kwamba maadui au wapinzani waliweza kuingia malango ya Yerusalemu. \v 13 Haya yalitokea kwasababu ya dhambi za manabii na maasi ya makuhani walio mwaga damu ya wenye haki mbele zake.