sw_lam_text_ulb/04/01.txt

1 line
275 B
Plaintext

\c 4 \v 1 Dhahabu imechakaa; jinsi gani dhahabu safi imebadilika! Mawe matakatifu yamezagaa katika kila njia ya mtaa. \v 2 Wana wa thamani wa Sayuni walikuwa na thamani ya uzito wa dhahabu safi, lakini sasa hawana dhamani zaidi ya majagi ya udogo, kazi ya mikono ya mfinyazi!