sw_lam_text_ulb/01/13.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 13 Ni kutoka juu ndipo alipo tuma moto kwenye mifupa yangu na umenishinda. Ametanda nyavu kwa miguu yangu na kunigeuza. Amenifanya ukiwa na dhahifu. \v 14 Nira ya makosa yangu imefungwa na mikono yake. Zimesokotwa na kuwekwa shingoni mwangu. Amefanya uweza wangu kushindwa. Bwana amenikabidhi mikononi mwa, na siwezi kusimama.