sw_lam_text_ulb/01/08.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 8 Yerusalemu ili tenda dhambi sana, hivyo basi, amedalillika kama kitu kichafu. Wote walio mheshimu sasa wana mdharau kwa kuwa wameona uchi wake. Anasononeka na kujaribu kugeuka pembeni. \v 9 Amekuwa mchafu chini ya sketi yake. Hakuwaza hatima yake. Anguko lake lilikuwa baya. Hakukuwa na wakumliwaza. Alilia, "Angalia mateso yangu, Yahweh, kwa kuwa adui amekuwa mkuu sana."