sw_lam_text_ulb/01/01.txt

1 line
365 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Mji ambao mwanzo ulikuwa na watu wengi sasa umekaa peke yake. Umekuwa kama mjane, japo alikuwa taifa kubwa. Alikuwa mtoto wa mfalme miongoni mwa mataifa, lakini sasa amelazimishwa utumwani. \v 2 Analia na kuomboleza usiku, na machozi yake yanafunika mashavu yake. Hamna hata mpenzi wake anaye mliwaza. Marafiki wake wote wamemsaliti. wamekuwa maadui wake.