\v 10 Adui ameeka mkono wake kwenye hazina zetu za thamani. Ameona mataifa yakiingia sehemu yake takatifu, japo uliamuru wasiingie katika sehemu yako ya kukusanyikia.