Wed Jan 18 2023 10:35:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-18 10:35:17 +03:00
parent 7756133385
commit 07b9ba5e3f
4 changed files with 12 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Wafalme wa dunia hawaku amini, wala wakazi wa dunia, kwamba maadui au wapinzani waliweza kuingia malangoni ya Yerusalemu. \v 13 Haya yalitokea kwasababu ya dhambi za manabii na na maasi ya makuhani walio mwaga damu ya wenye haki mbele zake.
\v 12 Wafalme wa dunia hawaku amini, wala wakazi wa dunia, kwamba maadui au wapinzani waliweza kuingia malango ya Yerusalemu. \v 13 Haya yalitokea kwasababu ya dhambi za manabii na maasi ya makuhani walio mwaga damu ya wenye haki mbele zake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Walitanga, kwa upofu, mitaani. Walikuwa wamejitia unajisi kwa damu hiyo ambapo hakuna aliye ruhusiwa kushika nguo zao. \v 15 "Kaa mbali! Wewe mnajisi!" Watu waliwapazia sauti. "Kaa mbali! Kaa mbali! Usiguse!" Hivyo wakatanga; watu walisema miongoni mwa mataifa, "Hawawezi kukaa hapa tena."
\v 14 Walitanga tanga, kwa upofu, mitaani. Walikuwa wamejitia unajisi kwa damu hiyo ambapo hakuna aliye ruhusiwa kushika nguo zao. \v 15 "Kaa mbali! Wewe mnajisi!" Watu waliwapazia sauti. "Kaa mbali! Kaa mbali! Usiguse!" Hivyo wakatanga; watu walisema miongoni mwa mataifa, "Hawawezi kukaa hapa tena."

1
05/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 5

View File

@ -91,6 +91,14 @@
"04-04",
"04-06",
"04-07",
"04-09"
"04-09",
"04-11",
"04-12",
"04-14",
"04-16",
"04-17",
"04-19",
"04-21",
"05-title"
]
}