sw_jud_text_reg/01/14.txt

1 line
487 B
Plaintext

milele.\v 14 Enoko, wa saba kutoka kwa Adamu, alitabiri kuhusu wao, akisema, "Tazama! Bwana anakuja na maelfu na maelfu ya watakatifu wake, \v 15 ili afanye hukumu juu ya kila mtu, na kutia hatia wote wasiomcha Mungu juu ya matendo yao yote waliyokwishafanya katika njia zisizo za kitauwa, na kwa maneno yote ya ukali ambayo wasio watauwa wameyanena dhidi yake." \v 16 Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao hufuata tamaa zao za uovu, wajivunao mno, ambao kwa faida yao hudanganya