sw_jud_text_reg/01/09.txt

1 line
490 B
Plaintext

watukufu.\v 9 Lakini hata Mikaeli malaika mkuu, wakati alipokuwa akishindana na ibilisi na kugombana kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kuleta hukumu ya uongo dhidi yake, lakini badala yake alisema, "Bwana akukemee!" \v 10 Lakini watu hawa huleta uongo dhidi ya chochote wasicho kifahamu. Na kile wanacho kifahamu- kama wanyama wasio na akili, haya ndiyo yaliyo waharibu. \v 11 Ole wao! Kwa kuwa wametembea katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu. Wameangamia katika uasi wa