From 06d48424cd94f50370bff03dd68a1191e150b8c9 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embracekenya Date: Mon, 14 Nov 2022 12:45:05 +0300 Subject: [PATCH] Mon Nov 14 2022 12:45:05 GMT+0300 (East Africa Time) --- 01/01.txt | 1 + 01/03.txt | 1 + 01/05.txt | 1 + 01/07.txt | 1 + 01/09.txt | 1 + 01/12.txt | 1 + 01/14.txt | 1 + 01/17.txt | 1 + 01/20.txt | 1 + 01/22.txt | 1 + 01/24.txt | 1 + LICENSE.md | 39 +++++++++++++++++++++++++++++++++++++++ front/title.txt | 1 + manifest.json | 29 +++++++++++++++++++++++++++++ 14 files changed, 80 insertions(+) create mode 100644 01/01.txt create mode 100644 01/03.txt create mode 100644 01/05.txt create mode 100644 01/07.txt create mode 100644 01/09.txt create mode 100644 01/12.txt create mode 100644 01/14.txt create mode 100644 01/17.txt create mode 100644 01/20.txt create mode 100644 01/22.txt create mode 100644 01/24.txt create mode 100644 LICENSE.md create mode 100644 front/title.txt create mode 100644 manifest.json diff --git a/01/01.txt b/01/01.txt new file mode 100644 index 0000000..9537f2d --- /dev/null +++ b/01/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 1 Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, na ndugu yake Yakobo, kwa wale ambao wameitwa, wapendwao katika Mungu Baba, na waliotunzwa kwa ajili ya Yesu Kristo: \v 2 rehema na amani na upendo iongezeke \ No newline at end of file diff --git a/01/03.txt b/01/03.txt new file mode 100644 index 0000000..ae4a8ba --- /dev/null +++ b/01/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +kwenu.\v 3 Wapendwa wakati nilipokuwa nikifanya kila juhudi kuwaandikia ninyi kuhusu wokovu wetu, ilinilazimu kuwaandikia kwa ajili ya kuwashauri ili mshindanie kwa uaminifu imani ambayo ilikuwa imekabidhiwa mara moja tu kwa waaminio. \v 4 Kwa sababu watu fulani wamejiingiza kwa siri kati yenu - watu ambao walitiwa alama kwa ajili ya hukumu - watu wasio wataua ambao hubadili neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, na kumkana Bwana wetu Yesu \ No newline at end of file diff --git a/01/05.txt b/01/05.txt new file mode 100644 index 0000000..15d0add --- /dev/null +++ b/01/05.txt @@ -0,0 +1 @@ +Kristo.\v 5 Sasa napenda kuwakumbusha ninyi ingawa kuna wakati mlijua kwa ukamilifu kwamba Bwana aliwaokoa watu kutoka nchi ya Misri, lakini baadaye akawaangamiza wale ambao hawakuamini. \v 6 Na malaika ambao hawakuilinda enzi yao wenyewe lakini wakaacha makao yao maalum Mungu amewaweka katika minyororo ya milele, ndani ya giza, kwa ajili ya hukumu ya siku ile \ No newline at end of file diff --git a/01/07.txt b/01/07.txt new file mode 100644 index 0000000..30f3664 --- /dev/null +++ b/01/07.txt @@ -0,0 +1 @@ +kuu.\v 7 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyoizunguka, ambayo pia ilijiingiza yenyewe katika uasherati na wakafuata tamaa isiyo ya asili. Walioneshwa kama mifano ya wale ambao huteseka katika hukumu ya moto wa milele. \v 8 Hali kadhalika, kwa njia ile ile waota ndoto hawa pia huchafua miili yao, na hukataa mamlaka, na wananena uongo dhidi ya \ No newline at end of file diff --git a/01/09.txt b/01/09.txt new file mode 100644 index 0000000..fc24786 --- /dev/null +++ b/01/09.txt @@ -0,0 +1 @@ +watukufu.\v 9 Lakini hata Mikaeli malaika mkuu, wakati alipokuwa akishindana na ibilisi na kugombana kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kuleta hukumu ya uongo dhidi yake, lakini badala yake alisema, "Bwana akukemee!" \v 10 Lakini watu hawa huleta uongo dhidi ya chochote wasicho kifahamu. Na kile wanacho kifahamu- kama wanyama wasio na akili, haya ndiyo yaliyo waharibu. \v 11 Ole wao! Kwa kuwa wametembea katika njia ya Kaini, na kulifuata kosa la Balaamu. Wameangamia katika uasi wa \ No newline at end of file diff --git a/01/12.txt b/01/12.txt new file mode 100644 index 0000000..cc1210b --- /dev/null +++ b/01/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +Kora.\v 12 Hawa ni miamba katika sherehe zenu za upendo, wakisherehekea pasipo aibu, wachungaji wanaojilisha  wenyewe  tu. Ni mawingu yasiyo na mvua, yanayobebwa na upepo, ni miti iliyopukutika isiyo na matunda iliyo kufa mara mbili, iliyong'olewa mizizi. \v 13 Ni mawimbi ya bahari yenye kelele yakitoa aibu yao wenyewe, Ni nyota zinazorandaranda ambazo weusi wa giza umetunzwa kwa ajili yao \ No newline at end of file diff --git a/01/14.txt b/01/14.txt new file mode 100644 index 0000000..282b270 --- /dev/null +++ b/01/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +milele.\v 14 Enoko, wa saba kutoka kwa Adamu, alitabiri kuhusu wao, akisema, "Tazama! Bwana anakuja na maelfu na maelfu ya watakatifu wake, \v 15 ili afanye hukumu juu ya kila mtu, na kutia hatia wote wasiomcha Mungu juu ya matendo yao yote waliyokwishafanya katika njia zisizo za kitauwa, na kwa maneno yote ya ukali ambayo wasio watauwa wameyanena dhidi yake." \v 16 Hawa ni wale wanung'unikao, walalamikao ambao hufuata tamaa zao za uovu, wajivunao mno, ambao kwa faida yao hudanganya \ No newline at end of file diff --git a/01/17.txt b/01/17.txt new file mode 100644 index 0000000..c78fb61 --- /dev/null +++ b/01/17.txt @@ -0,0 +1 @@ +wengi\v 17 Lakini ninyi, wapendwa, kumbukeni maneno ambayo yalinenwa zamani na mitume wa Bwana Yesu Kristo. \v 18 Walisema kwenu, "Katika nyakatii za mwisho kutakuwa na watu wanaodhihaki ambao hufuata tamaa zao zisizo za kitauwa." \v 19 Watu hawa ni watenganishaji, wanatawaliwa na tamaa za kidunia na hawana \ No newline at end of file diff --git a/01/20.txt b/01/20.txt new file mode 100644 index 0000000..0c03a96 --- /dev/null +++ b/01/20.txt @@ -0,0 +1 @@ +Roho.\v 20 Lakini ninyi, wapendwa, jijengeni katika imani yenu takatifu sana na muombe katika Roho Mtakatifu, \v 21 Jitunzeni katika upendo wa Mungu, na msubiri rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo ambayo huwapatia uzima wa \ No newline at end of file diff --git a/01/22.txt b/01/22.txt new file mode 100644 index 0000000..cc0a209 --- /dev/null +++ b/01/22.txt @@ -0,0 +1 @@ +milele.\v 22 Onyesheni rehema kwa wale walio na shaka. \v 23 Waokoeni wengine kwa kuwanyakua kutoka katika moto. Kwa wengine onesheni huruma kwa hofu, mkichukia hata vazi lililotiwa doa na \ No newline at end of file diff --git a/01/24.txt b/01/24.txt new file mode 100644 index 0000000..5c335d5 --- /dev/null +++ b/01/24.txt @@ -0,0 +1 @@ +mwili.\v 24 Sasa kwake awezaye kuwalinda msijikwae, na kuwasababisha msimame mbele ya utukufu wake, bila mawaa na kuwa na furaha kuu, \v 25 kwake Mungu pekee mwokozi kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, utukufu uwe kwake, ukuu, uwezo na nguvu kabla ya nyakati zote, na sasa na hata milele. \ No newline at end of file diff --git a/LICENSE.md b/LICENSE.md new file mode 100644 index 0000000..d31d4f9 --- /dev/null +++ b/LICENSE.md @@ -0,0 +1,39 @@ + +## Creative Commons Attribution-ShareAlike 4.0 International + +### Human-Readable Summary + + +The Creative Commons Attribution-Share Alike 4.0 International License is available at +http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/. + +#### This is a human-readable summary of (and not a substitute for) the License. + + +### You are free to: + + +* **Share** — copy and redistribute the material in any medium or format. + +* **Adapt** — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. + + The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms. + +### Under the following terms: + +* **Attribution** —You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use. + +* **ShareAlike** — If you remix, transform, or build upon the material, you must distribute your contributions under the same license as the original. + +* **No additional restrictions** — You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits. + + +### Notices: + +* You do not have to comply with the license for elements of the material in the public domain or where your use is permitted by an applicable exception or limitation. + +* No warranties are given. The license may not give you all of the permissions necessary for your intended use. For example, other rights such as publicity, privacy, or moral rights may limit how you use the material. + + + +This PDF was generated using Prince (https://www.princexml.com/). \ No newline at end of file diff --git a/front/title.txt b/front/title.txt new file mode 100644 index 0000000..7a0a654 --- /dev/null +++ b/front/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Yuda \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json new file mode 100644 index 0000000..119eea0 --- /dev/null +++ b/manifest.json @@ -0,0 +1,29 @@ +{ + "package_version": 6, + "format": "usfm", + "generator": { + "name": "ts-desktop", + "build": "83" + }, + "target_language": { + "id": "sw", + "name": "Kiswahili", + "direction": "ltr" + }, + "project": { + "id": "jud", + "name": "Jude" + }, + "type": { + "id": "text", + "name": "Text" + }, + "resource": { + "id": "reg", + "name": "Regular" + }, + "source_translations": [], + "parent_draft": {}, + "translators": [], + "finished_chunks": [] +} \ No newline at end of file