sw_jos_text_reg/15/33.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 33 Katika nchi iliyo chini ya mlima upande wa magharibi, kulikuwa na miji ya Eshtaoli, Zora, Ashina, \v 34 Zanaoa, Eni Ganimu, Tapua, Enamu, \v 35 Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka, \v 36 Shaaraimu, Adithaimu, na Gedera ( ambayo ndio Gederothaimu). Hesabu ya miji hii ilikuwa ni kumi na nne, pamoja na vijiji vyao.