sw_jos_text_reg/21/01.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 1 Kisha wakuu wa koo za Walawi walimwendea Eliazari kuhani, na kwa Yoshua mwana wa Nuni, na kwa viongozi wa familia za mababu zao miongoni mwa watu wa Israeli. \v 2 Waliwaambia, "Yahweh aliwaagizeni ninyi kwa mkono wa Musa kwamba mtupatieni miji ya kuishi yenye maeneo kwa ajili ya kuchungia ya mifugo." waliyasema haya huko Shilo katika nchi ya Kanaani.