sw_jos_text_reg/10/36.txt

1 line
413 B
Plaintext

\v 36 Kisha Joshua na Israeli wote wakatoka Egloni na kwenda Hebroni. Wakapigana vita dhidi yake. \v 37 Waliuteka mji na kuwaua kwa upanga watu wote ndani yake pamoja na mfalme wake, kujumuisha na vijiji vyote vilivyoizunguka. Waliteketeza kabisa kila kiumbe hai ndani yake, hawakuacha hata mtu mmoja aliyesalia, ni sawa sawa na vile Yoshua alivyoitenda Egloni. Aliiteketeza kabisa, na kila kiumbe hai ndani yake.