sw_jos_text_reg/10/24.txt

1 line
402 B
Plaintext

\v 24 Na walipowaleta wafalme kwa Yoshua, alimwita kila mtu wa Israeli, na aliwaambia maakida wa wanajeshi waliokuwa wameenda vitani pamoja naye " Kanyageni miguu yenu juu ya shingo zao." Basi walikuja na kukanyaga miguu yao juu ya shingo zao. \v 25 Kisha akawaambia, 'Msiogope wala kufadhaika. uwe na moyo mkuu na jasiri. Na hiki ndicho Mungu atakachokifanya kwa maadui wenu wote ambao mtapigana nao'.