sw_jos_text_reg/10/22.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 22 Kisha Yoshua akasema, "Fungueni mlango wa pango, watoeni nje na waleteni kwangu hawa wafalme watano." \v 23 Walifanya kama Yoshua alivyosema. Waliwaleta wafalme watano kutoka katika pango - mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi na mfalme wa Egloni.