sw_jos_text_reg/10/15.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 15 Yoshua na Israeli yote pamoja naye walirudi kambini huko Giligali. \v 16 Basi wale wafalme watano walikuwa wametoroka na kujificha wao wenyewe katika pango huko Makeda. \v 17 Taarifa zilimfikia Yoshua kusema, "Wafalme watano wamepatikana wamejificha katika pango huko Makeda!"