sw_jos_text_reg/10/09.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 9 Baada ya kutembea usiku kucha kutoka Giligali, ghafla Yoshua aliwafikilia. \v 10 Na Yahweh aliwachanganya maadui mbele za Israeli - ambao waliwaua mauaji makubwa mno huko Gibeoni, na wale waliowafuata njiani iendayo Bethi Horoni, nao waliuwaua katika njia iendayo Azeka na Makeda.