sw_jos_text_reg/10/08.txt

1 line
138 B
Plaintext

\v 8 Yahweh akamwambia Yoshua, "Usiwaogope. Nimewatia wote katika mkono wako. Hakuna hata mmoja wao atakayeweza kuzuia mashambulizi yako."