sw_jos_text_reg/24/19.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 19 Lakini Yoshua akawaambia watu, "Hamwezi kumtumikia Yahweh, kwa kuwa ni Mungu mtakatifu; ni Mungu mwenye wivu; hatawasamehe makosa na dhambi zenu. \v 20 Kama mtamwacha Yahweh na kuabudu miungu ya kigeni, basi atageuka na kuwaharibu. Atawaangamizeni baada ya kuwa amewatendea mema."