1 line
438 B
Plaintext
1 line
438 B
Plaintext
\v 14 Kisha wazawa wa Yusufu wakamwambia Yoshua, wakisema, " Kwanini umetupa mgao mmoja wa nchi na sehemu moja kwa ajili ya urithi, kwa kuwa tuko wengi, na kwa muda wote Yahweh umetubaliriki? \v 15 Yoshua akawaambia, "Kama ninyi ni watu wengi katika hesabu, pandeni ninyi wenyewe katika msitu na kuisafisha nchi kwa ajili yenu wenyewe katika nchi ya Waperizi na ya Refaimu. Fanyeni hivi kwa kuwa nchi ya milima ya Efraimu ni ndogo kwenu." |