1 line
281 B
Plaintext
1 line
281 B
Plaintext
\v 24 Hiki ndicho Musa alilipa kabila la Gadi, ukoo kwa ukoo: \v 25 Himaya yao ilikuwa Yazeri, miji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Waamoni, hadi Aroeri, iliyo mashariki mwa Raba, \v 26 kutoka Heshiboni hadi Ramathi - Mizipe na Betonimu, kutoka Mahanaimu mpaka himaya ya Debiri. |