1 line
299 B
Plaintext
1 line
299 B
Plaintext
\v 6 Yahweh akamwambia Yoshua, "Usiogope mbele zao, kwa kuwa muda kama huu kesho ninawatia hao kwa Waisraeli wakiwa wafu. Utaivunja vunja miguu ya farasi zao, na utayachoma moto magari yao." \v 7 Yoshua na watu wote wa vita walitoka na mara wakafika katika maji ya Meromu, na wakawashambulia maadui. |