sw_jos_text_reg/09/22.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 22 Yoshua aliwaita na kuwaambia, " Kwanini mlitudanya wakati mliposema, "Tuko mbali sana nanyi' wakati mnaishi hapa hapa miongoni mwetu? \v 23 Na kwasababu hii, mmelaaniwa na baadhi yenu mtakuwa watumwa siku zote, wenye kukata kuni na kuchota maji kwa ajli ya nyumba ya Mungu wangu."