sw_jos_text_reg/09/18.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 18 Watu wa Israeli wahakushambulia kwasababu viongozi wao walikuwa wamewaapia mbele za Yahweh, Mungu wa Israeli. Waisraeli wote walikuwa wananung'unika kinyume na viongozi wao. \v 19 Lakini viongozi wote waliawaambia watu wote wa Israeli, "Tumeapa kwa Yahweh, Mungu wa Israeli kwa ajili yao, na sasa hatuwezi kuwadhuru.