sw_jos_text_reg/02/23.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 23 Wale watu wawili walirudi na kuvuka mto na wakafika kwa Yoshua mwana wa Nuni, na walimwambia kila kitu kilichotokea kwao. \v 24 Nao wakasema kwa Joshua, "kwa kweli Yahweh ametupa nchi hii. Wenyeji wote wa nchi wanayeyuka kwasababu yetu.