sw_jos_text_reg/02/08.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 8 Wale wanaume walikuwa hajalala usiku, wakati alipowaendea kule darini. \v 9 Akawaambia, " Ninajua kwamba Yahweh amewapa ninyi nchi na kwamba hofu juu yenu imetuingia. Watu wote wanaoishi katika nchi watayeyuka mbele yenu.