sw_jos_text_reg/15/60.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 60 Kiriathi Baali (ambayo ndio Kiriathi Yearimu), na Raba. Hii ilikuwa ni miji miwili, pamoja na vijiji vyake. \v 61 Katika nyika, kulikuwa na miji ya Bethi Araba, Midini, Sekaka, \v 62 Nibushani, mji wa chumvi, na Eni Gedi. Hii ilikuwa miji, pamoja na vijiji vyao.