sw_jos_text_reg/15/45.txt

1 line
362 B
Plaintext

\v 45 Ekroni, pamoja na miji na vijiji vyake vinavyoizunguka; \v 46 kutoka Ekroni kuelekea Bahari Kuu, makazi yote ambayo yalikuwa karibu na Ashidodi, pamoja na vijiji vyake. \v 47 Ashidodi, na miji na vijiji vyake vinavyoizunguka; Gaza na miji na vijiji vyake vinavyoizunguka; hata kufika kijito cha Misri, na kuelekea Bahari Kuu pamoja na ukanda wake wa pwani.